January ni mwezi ambao siku zote huwa na mambo yake..
Kwanza ni mwezi ambao umezongana na mambo mengi kwenye nyaja ya kifamilia hadi kikazi ..
1.kifamilia kuna mpango wa ada za watoto shule , kadi ya nyumba .
Ambazo mara nyingi huwa zinaongozana huo mwezi
2.kikazi unakuta umetoka likizo na unarudi kazini pesa zote zimekwisha , mpaka kazi waiona chungu ...
Nini cha kufanya sasa?
Endapo km utajikuta wewe huwa na mambo km ya watu wengine kukwama January ,itabidi ujiandae mapema kabla hujafika January, ikiwezekana uwe unaanza kuweka pesa kuanzia mwezi wa 9 ili uje uokoke January.
Ahsante