kuelekea kelele cha simba day kuna baadhi ya wadau na mashabiki wa soka wana maoni yao
kwa harakaharaka twaweza sema wengine wanajidhihrisha wazi kua ni wa pinzani
nini maoni yako