kutokana na kushindwa kuweza kushinda kwa michezo yao leo:
YANGA.> NIGERIA
SIMBA >TANZANIA👋👋
mashabiki wa SIMBA wanajitetea kwa kusema kuwa hawakuhitaji ushindi bali walikua kwenye mechi ya urafi
huku mashabiki wa YANGA wakijitetea kua bado wanatengeneza timu
nini maoni yako