Kwa kipindi cha mwezi mmoja na zaidi sasa kwa wakazi wa dar es Salaam wamekuwa wakikumbwa na kadhia ya ongezeko la joto .
Jambo ambalo lina hatarisha afya za walio wengi
......
Kwa hali ya kawaida ni kwamba joto limezidi ,yawezekana kutokana na uchafuzi wa mazingira na viwamda vya kutoa moshi sana .
Nini maoni yako ? Unadhani ongezeko la joto linatokana na nin?
Mcj