joto la dar sasa limezidi hadi kufikia nyuzi joto27 kwa usiku huu hali ni tete sana kwa wakazi wa dar
wakazi wengi wa dar wanaishushia lawama mamlaka ya hali ya hewa nchini TMA kana kwamba yenyewe ndio ya kushusha joto au kupandisha ...........\
nini maoni yako